top ten za 5/12-12/12

Standard
  1. Yalaiti By MwaFA ft Linnah
  2. Hakunaga by sumalee
  3. Zamani by Qchief ft Barnabas,Linnah
  4. Hawataki by Sharomilionea
  5. Nanini by Bob junior
  6. Maneno by queen darlen
  7. Angalau by Linnah
  8. Pole by pasha
  9. Sukari by T.I.D
  10. Relax by Peter Msechu
Advertisements

zubaa uzikwe!!!

Standard

Kweli kuishi uswazi bana inahitaji moyo,,maana kuna jamaa anakaa pande za masaki ile akapita pande za manzese si akajikuta anampenda binti mmoja maeneo hayo,,jamaa akafukuzia mzigo mwisho wa siku akafanikiwa kupata hicho kigoli cha manzese Read the rest of this entry

Ujue umuhimu wa zawadi katika penzi!!!!

Status

HABARI za mda huu vijana wenzangu,karibuni sana katika pande hizi za vijana na mahusiano ili tuweze kuhabarishana habari nyingi zinazohusu mahusiano na maisha yetu ya kimahusaiano kama vijana ili tuweze kuboresha mapenzi yetu na kudumu kwa mda mrefu katka uchumba na ndoa zetu.
Leo katika mada yetu tunazungumzia juu ya habari ya zawadi katika penzi na jinsi gani zawadi inavyoweza kuboresha na kustawisha penzi lenu.Katika hii dunia wakati wa ujana ndio wakati wakutafuta mwenzi utakaye jumuika naye katika maisha yakte hadi kifo kitakapowatenganisha.Kama tunavyojua hakuna raha hapa duniani kama kupendwa na na wewe kuonesha thamani ya mpenzio lazima umpende kwa dhati kwa matendo mbalimbali ili naye afurahie mahusiano mliyonayo. Read the rest of this entry

Ukubwa wa bofro……!!!!!!

Standard

Jamani miyemwenzenu pita pita yangu mitaa ya manzeshe  basi wacha nimuone jamaa mmoja mida ya saa sita mchana,kweupee hata bado hakuna kitu kiza,,huyo jamaa bonge  basi kakabana katoto kadogo kwenye ukuta,mwenzenu nkasema huyu jamaa ina maana haoni aibu kuibanananisha kile kitoto kidogo katikati ya barabara,japo kichochoroni lakini watu wanawaona bana halafu jamaa baunsa huyo.

Basi bwana waswahili wanakwambia kusutwa sio kazi ila kazi ukishikwa, Read the rest of this entry

Jamani raha tena,,hapa hapa!!!!!

Standard

Mambo vipi wadau wa masuala ya udaku, tetesi,elimu,mahusiano na mambo yote yanayopantikana ndani ya Bongo,hii ndiyo Bongo raha na inaelezea kuhisiana na kila kitu kitokeacho ndani ya jiji la Bongo kwa wajanja na tena tunajifunza na kuelimishana kutokana na maisha yetu tunayoishi ndani ya Bongo….karibuni sana wadau na mjisikie raha milele!!!!!!!