zubaa uzikwe!!!

Standard

Kweli kuishi uswazi bana inahitaji moyo,,maana kuna jamaa anakaa pande za masaki ile akapita pande za manzese si akajikuta anampenda binti mmoja maeneo hayo,,jamaa akafukuzia mzigo mwisho wa siku akafanikiwa kupata hicho kigoli cha manzese

Basi jamaa majuzi kati akakiambia kile kigoli kuwa anataka kukipangishia chumba pande za mikocheni au upanga ili waaweze kuishi pamoja na kwa uhuru,Demu akwambia jamaa ampe mda wa kufikiri juu ya hilo,basi binti akaondoka kwenda kumuuliza rafiki yake,,maana yule rafiki yake ana roho mbaya basi akamwambia kuwa aasikubali maana huyo jamaaa anaweza mtosa mda wowote atapata wapi pesa ya kulipa huko kwenye bei kubwa wakati hana kazi,,kumbe mwenzake hapo anamuonea wivu,

Demu akasikiliza ushauri wa mwenzio na akamtosa jamaa,,mhmhmh baada ya kumuacha jaamaa rafiki yake aliyemshauri aachane na jamaa akajipendekeza na kuchukua mzigo yeye,,sasa kapangiwa bonge la jumba upanga anaendelea kuinjoi na migari kibao kanunuliwa na kumuacha mwenzake yule analalia vibanda vya mbwa pale manzese,,hahahhahahahhaha yalifuata hayakuusu lol..maana ni ugomvi kwa kwenda mbele hadi kwa balozi hahahahahha,,,inahusuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!kweli zubaa uzikwe…….

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s